Mjapan huyu aliyepo Tanzania kwa utafiti anaomba msaada baada ya kuibiwa

Ujumbe ufuatao umepokelewa kupitia WhatsApp...


Jana nikiwa Mombo nilimwona kijana mmoja wa kijapan amejibandika matangazo kifuani na mgongoni. Nilimwuliza kulikokoni akanieleza kuwa aliibiwa juzi vitu vyake ndani ya basi la Kidia one akisafiri kati ya dar Arusha. Kamera laptop na daftari 5 among other things. Vitu hivyo ni vina Research work aliyofanya miezi 6. Anaomba Msaada apate daftari zake. Na kama unavyoona yuko tayari kutoa 300,000/-
Habari hii inatia uchungu sana. Tafadhali saidia kusambaza kwa makundi mengine huenda akafanikiwa. Tumemshauri pia aende clouds fm na media house zingine.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA