Posts

Showing posts from September, 2010

VICHWA VINNE VIKALI NDANI YA UKISIKIA PAAA.

Image
Unajua nini hawa jamaa ni noma sana katika suala la Hip Hop ebu chungulia hapa chini then utaniambia nini kinaendelea katika Industry hii........... Lyrics za Ukisikia PAAA, Intro ahhh...ahhhh ohhh yeahhh..(shhhh!).. it's the remix (shhhh!)...JCB....(ahhhh!).....Murder..! (Tongwe Records Babyyyy) Verse 1 (JCB) Damu ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA, Watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar, Sio polisi sio baunsa iliye kaa utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini, Amini usiamini akabaki tu na mimi, Akanishikia bunduki kwa chini, Akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga risasi kama sabini, Anasura kama idi amini akarudi karibu atua tatu mpaka kabatini, Akatamka HEYOO! nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini, Akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki Akasema kama simuonyeshi leo sio koki,jinsi alivyo akilenge ye akosi mikosi, Kavaa koti jeusi jasusi, Mikono nikaweka juu kuepuka nukx huku natukana mengi matusi... Chorus X2 Ukisikia PAAAA...uj...

UZOEFU BY SALUT VIDEO IS OUT CHECK IT

check out this video of One-Incredible

DOWNLOAD A NEW ALBUM OF LIL WAYNE

Image
Lil’ Wayne – I Am Not A Human Being This album is HOT click this link below to download it. http://www.blogger.com/www.dopenewsongs.com

Familia ya Mpangala yampongeza Vodacom Miss Tanzania 2010

Image
Familia ya Emmanuel Mpangala ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa tafrija ya kumpongeza Binti yao Genevieve aliyeshinda taji la Vodacom Miss Tanzania 2010.Kushoto ni Dunstan na mziwanda Brian. Dua ya kuanza kwa tafrija ikisomwa na babu.... Wazazi wa Miss Tanzania wakiwa na binti yao. Kamati ya Miss Tanzania nayo haipo mbali... Burudani ya mziki ikiendelea kutoka kwa ... . Kalunde Band na hapa Deo Mwanambilimbi akifanya vitu. Kocha wa Yanga Papic na Rais Mstaafu wa Klabu ya Yanga Imani Madega wapo... Wadau wa TMK wakiongzwa na Ben Kisaka wapo. Mambo flani ya sherehe yalikuwa kama hivi Somoe aliongoza msafara huu. Miss Tanzania wa zamani (2009) nae huyo anapakua chake... Mdogo wa Vodacom Miss Tanzania akishusha stata yake. picha na habari ni kutoka wa father kidevu.

MATONYA & NONINI LIVE IN LONDON

Image
•★•★•★BONGOUK PRESENT EAST AFRICAN SHOW DOWN 2010•★•★★• @ TEREZA JOANNE BOAT KING GEORGE V DOCK E16 2QY London, United Kingdom •★•★•★•BONGOUK ENTERTAINMENT ARE TAKING ENTERTAINMENT TO NEW HEIGHTS WITH THE VERY BEST ENTERTAINERS, THE GODFATHER OF GENGE NONINI AND THE BONGO FLAVA KING MATONYA★•★•★•★ ★•★•★•★ PERFORMING LIVE ON THE SAME STAGE FOR THE FIRST TIME EVER IN THE UK "THE EAST AFRICAN SHOW DOWN"★•★•★•★ *********************************************** •★•★•NONINI WILL PUT THIS PARTY ON FIRE BY PERFORMING HIS HITS LIKE NEVER B4........... ★•★•★•★GENGE LOVE, KADHAA, MANZI WA NAIROBI, FURAHIDAY ETC.. *********************************************** ★•★•MATONYA WILL BE PERFORMING HIS HITS LIKE ★•★•★•★ANITA, VAILET, TAXI BUBU, SPAIR TIRE, SIAMINI ETC EARLY BIRD TICKET AVAILABLE FOR ONLY £10 £15@THE DOOR B4 MIDNITE / MORE AFT ▀▀▀▀▀ ►FROM 9PM TILL 4AM

Vodacom yatoa ofa ya internet Bure

Kampuni ya Simu za Mkononi ya VodaCom Tanzania, imezindua huduma mpya ya intaneti ambayo itawawezesha wateja wake kulonga (chat)kwa intaneti bure. Mkurugenzi wa Uhusiano wa VodaCom Tanzania, Mwamvita Makamba amesema kuwa wateja wa VodaCom sasa wanaweza kuwasiliana zaidi kwa kulonga bure kwenye tovuti za FaceBook, TheGrid na VodaMail. Huduma hiyo itapatikana kwa simu za mkononi na pia kwa Laptop zilizounganishwa na USB Moderm. “Tunapenda wateja wetu watumie mtandao wetu kwa kuwasiliana bure na hivyo kukata kiu yao ya mawasiliano”. Alifafanua kwamba hayo yote yatawezekana kwa kutumia mtandao wa 3G ambao una kasi na nguvu kubwa.

MSECHU KUWAKILISHA TUSKER PROJECT FAME

Image
Peter Msechu Mshiriki Peter Msechu amekuwa mmoja kati ya washiriki watano kutoka Tanzania waliochaguliwa kuingia katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya kupata mkataba katika shindano la kusaka vipaji vya muziki katika ukanda wa Afrika Masahariki Tusker Project Fame kwa mwaka 2010

tigo yaichangia ccrbt kuendeleza huduma bure.

Image
Jumla ya watoto 160 watapatiwa huduma ya upasuaji wa macho katika kliniki maalum ya huduma hiyo zitakazoendeshwa na Shirika lisilo la Kiserikali la CCBRT kwa siku 11, kuanzia Novemba 8 - 19, 2010 katika hospitali ya Sekou Toure mjini Mwanza. Shughuli hizo zitakuwa zinafanyika mara mbili kwa mwaka ambapo zoezi la pili linatarajiwa kufanyika Julai mwakani. Tigo pia itafadhili mafunzo ya wiki mbili ya kozi ya huduma za uzazi (BEmONC) kwa wakunga 10. Mkurugenzi Msaidizi wa CCBRT bi. Haika Mawala alisema kuwa 80% ya upofu unaweza kutibiwa au kuzuiwa na ni muhimu kuwafikia watoto wengi waliozaliwa na mtoto wa jicho nchini Tanzania. "Ninafurahi kuwa tiGO inatambua kazi ya kubadilisha maisha ambayo CCBRT inafanya katika jamii hapa jijini Dar na kwingineko," alisema Haika na kuongeza, kupitia ushirika huo muhimu sana mkoani Mwanza, watoto wapatao 160 ambao wangepata upofu watapata kuona na hivyo kuweza kuishi maisha mema zaidi. Mkuu wa kitengo cha Udhibiti wa Mawasiliano ya Mambo ya ...

MSANII WA KIZAZI KIPYA CHANGAMKIA OFFER HII

Image
KWA WALE WASANII WACHANGA AMBAO WANAJIONA WANAKIPAJI LAKINI WAMESHINDWA KUTOKA,SASA DAWA YAO IMEPATIKANA KUTOKA KWA PRODUCER WA UKWELI ASIYEKUWA NA LONGOLONGO DUKE TACHEZ,AMBAYE AMEWEZA KUTENGENEZA NGOMA KIBAO KAMA I'M PROFFESION YA FID Q,PLAY BOY YA NIKKI MBISHI,INCREDIBLE YA ONE NA NYINGINE KIBAO,NAFASI IMEPATIKANA SASA CHANGAMKIENI OFA HII........ STUDIO HII YA MUSIC LAB( M-LAB) IKO ENEO LA KINONDONI KARIBU NA UWANJA WA BIAFRA KWA MAWASILIANO ZAIDI MTUMIE EMAIL duketachez@hotmail.com AU PIGA SIMU NO 0714 884342

WEEKEND NDO HIYO.....BURUDANI ZAIDI

Image

Joseph Mbilinyi na harakati zake za Ubunge Mbeya mjini

Image
Hapa Msafara wa Joseph Mbilinyi ukipita katika jiji la Mbeya mjini Hapa akinadiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Wananchi wakipunga mkono kudhiirisha kumkubali Sugu kuwa Mbunge wao Makamanda wa CHADEMA wakiweka njia kwa ajili ya Sugu kupita Moja ya Gari linatumika kwa PA katika kampeni za Sugu Hapa Mgombea Ubunge Joseph Mbilinyi akiwasalimu wakazi wa kitongoji cha Mabatini-Mbeya Mjini Sugu akifika eneo la mabatini Umati wa watu waliofika kumsikiliza sugu Mmoja wa Kamanda wa CHADEMA akiongea na wananchi Bwana Joseph Mbilinyi akiongea na wananchi wa Mabatini

DK SLAA ATIKISA MJI WA MUSOMA LEO:

Image
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk Wilbroad Slaa leo amehutubia mamia ya wakazi wa manispaa ya Musoma katika uwanja wa shule ya Msingi Mukendo huku akipeleka shutuma nyingi kwa aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzanzania Samweli Sitta. Dk Slaa aliwasili majira ya saa nane na nusu katika uwanja huo na helkopta akitokea wilayani Rorya akikuta mamia ya wakazi wa mji huo wakiwa tayari wamefika kumsikiliza,wakielezea mambo mbalimbali viongozi wa Chaema walisema kuwa muda umefika kwa utawala wa Chama cha Mapinduiz kufika kikomo. Akionyesha kuongea kwa kutoa takwimu mgombea huyo alisema kuwa kwa sasa Chama cha mapinduzi hakifanyi uchaguzi wa chama kwa chama bali ni uchaguzi kati ya Makini na tajiri huku akisema kama wananchi wataamua hakuna kinachoshindikana katika nguvu ya umma. Akionge...
Image
Jengo likiwaka moto. JENGO la ghorofa tatu lililopo Manzese-Bakhresa jijini Dar es Salaam ambalo linatumiwa kwa shughuli za utengenezaji wa soli za viatu na lina maduka, jana lilishika moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme ambapo vitu kadhaa vilivyokuwemo ndani yake viliteketea. Walioshuhudia moto huo ulioanza kuwaka majira ya saa saba za mchana walivilaumu vikosi vya uokoaji na zimamoto ambavyo vilichukua zaidi ya saa moja tangu moto huo uanze kuteketeza vitu katika jengo hilo. Wafanyakazi wa Tanesco wakiondoka eneo la tukio baada ya kuhakikisha umeme hauleti tena madhara eneo hilo. Mashuhuda wakishangalia tukio hilo. Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kulinda usalama. Gari la zimamoto la kampuni ya Ultimate Security likielekea eneo la tukio. picha hizi ni kutoka tovuti y a http:// www.globalpublishers.com

Geneviev Emanuel miss tanzania 2010

Image
Geneviev Emanuel akikabidhiwa rasmi usiku wa kuamkia leo gari yake aina ya Hyundai i10 lenye thamani ya shilingi milioni 12 pamoja na kitita cha shilingi Mil 10.watoa burudani walikuwa ni Mh Temba na Chege kutoka TMK Family, Ambwene Yessaya (AY) Mataluma, Mwasiti na kundi la THT.

SO SORRY

Samahani sana kwa wapenzi wa blog hii nilipata tatizo kidogo kwenye Internet yangu nikashidwa kupost taarifa mbalimbali katika blog yetu,lakini nimerudi tena ulingoni kama kawaida.

HAPPY BIRTHDAY 'J-RYDER

Image
'Jeremy J-Ryder Kyejo's Producer mkali toka Tongwe Records Jeremy aka J-RYDER leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa,wish all da best Bro on this special day

ME AND JAILES TUKICHIACHIA PANDE ZETU

Image
Kelvin nikjiachia pande fulani Me and Jailes chilin out this weekend

JAILES AKI SHOW LOVE KWENYE BLOG PIA

Image
Anapenda kuitwa JAY akishow love kwenye blog yako kama kawa ...tufurahi pamoja.