Jengo likiwaka moto.
JENGO la ghorofa tatu lililopo Manzese-Bakhresa jijini Dar es Salaam ambalo linatumiwa kwa shughuli za utengenezaji wa soli za viatu na lina maduka, jana lilishika moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme ambapo vitu kadhaa vilivyokuwemo ndani yake viliteketea.

Walioshuhudia moto huo ulioanza kuwaka majira ya saa saba za mchana walivilaumu vikosi vya uokoaji na zimamoto ambavyo vilichukua zaidi ya saa moja tangu moto huo uanze kuteketeza vitu katika jengo hilo.


Wafanyakazi wa Tanesco wakiondoka eneo la tukio baada ya kuhakikisha umeme hauleti tena madhara eneo hilo.


Mashuhuda wakishangalia tukio hilo.


Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kulinda usalama.


Gari la zimamoto la kampuni ya Ultimate Security likielekea eneo la tukio.


picha hizi ni kutoka tovuti ya http://www.globalpublishers.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA