MSECHU KUWAKILISHA TUSKER PROJECT FAME



Peter Msechu

Mshiriki Peter Msechu amekuwa mmoja kati ya washiriki watano kutoka Tanzania waliochaguliwa kuingia katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya kupata mkataba katika shindano la kusaka vipaji vya muziki katika ukanda wa Afrika Masahariki Tusker Project Fame kwa mwaka 2010

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA