THT,AY,WAHU KUPAMBA MISS TANZANIA




Wasanii wa kundi la Tanzania Houde Of Talent (THT) wanaotamba na jimbo mbalimbali hapa nchini na Wahu kutoka Kenya wanatarajiwa kupamba shindano la Miss Tanzania linalotarajiwa kufanyika tarehe Septemba 11 kwenye ukumbi wa Mlimani City.


Mratibu wa shindano Hashim Ludenga alisema kuwa mbali na wasanii hao,pia kutakuwa na burudani kutoka kwa AY,Mheshimiwa Temba,Chege na Mataluma.


Shindano hilo linawashirikisha warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA