Joseph Mbilinyi na harakati zake za Ubunge Mbeya mjini


Hapa Msafara wa Joseph Mbilinyi ukipita katika jiji la Mbeya mjini

Hapa akinadiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya
Wananchi wakipunga mkono kudhiirisha kumkubali Sugu kuwa Mbunge wao
Makamanda wa CHADEMA wakiweka njia kwa ajili ya Sugu kupita
Moja ya Gari linatumika kwa PA katika kampeni za Sugu

Hapa Mgombea Ubunge Joseph Mbilinyi akiwasalimu wakazi wa kitongoji cha Mabatini-Mbeya Mjini

Sugu akifika eneo la mabatini

Umati wa watu waliofika kumsikiliza sugu

Mmoja wa Kamanda wa CHADEMA akiongea na wananchi

Bwana Joseph Mbilinyi akiongea na wananchi wa Mabatini



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA