HIKI NDO KINANIFANYA NISIUPTODATE BLOG

Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa blog hii kuhusu kwa nini siku hizi blog hii imekuwa ikidorola sana kwa upande wa news,kiukweli hata mimi ninajisikia vibaya sana wadau kwakupata comments za namna hiyo.....

Back to the point wadau kwa sasa niko Musoma nipo field katika bank ya CRDB hivyo nakuwa busy na kazi tangu asubuhi mpaka muda wa kutoka sa 11 jioni,nikitoka hapo nakuwa nimechoka hivyo najirudisha home kwa ajili ya mapumziko.Napenda kuwaondoa shaka wapenzi wote wa blog hii pindi muda utakapokuwa unapatikana basi nitakuwa nikijitahidi kuleta habari mbili 3 ili blog nayo isiwe dormant....

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA