POLENI KWA USUMBUFU

Poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza kwa kipindi chote kwa wale wapenzi wa blog hii ,nilikuwa katika kipindi cha mitihani hivyo nilikuwa sipati kabisa muda wa kutosha kuweza ku uptodate information za kutosha,lakini hivi sasa msijali tena nimesharudi so more information zitakuwepo za kutosha.Pia nawashukuru sana na sana kwa kuweza kunipigia kura za kutosha mpaka kuweza kuibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha blog bora za kitanzania kwangu ni heshima kubwa sana lakini pia ni heshima kwa wapenzi wote wa blog hii kwa kuwa wamefanya chaguo halisi.

Nawatakia kazi njema za kulijenga Taifa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA