BABA YAKE WA KAMBO KIM KARDASHIAN APATA PIGO LA KWANZA BAADA YA KUBADILI JINSIA

Aliejibadili jinsia, apata pigo. 

Baba wa mwanamitindo na mke wa mwanahip hop nguli duniani Kanye West, Kim Kardashian amepata pigo la kwanza tangu ajibadili jinsia na kuwa mwanamke siku chache zilizo pita.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Bruce Jenner (sasa hivi Catlyn) alikuwa mcheza gofu grade one Marekani aliekuwa na pointi za juu katika mchezo huo.
Taarifa zinaeleza kwamba itamlazimu Catlyn, kuanza upya kutafuta alama za juu kwenye mchezo huu kwa kuwa chama cha gofu nchini humo, kinamtambua Bruce na si Catlyn kama anavyotambuliwa hivi sasa.
Catlyn juzi alivunja rekodi iliyowekwa na Rais wa Marekani, Barack Obama kwenye twitter kwa kupata zaidi ya “followers” milioni 1 kwa saa nne

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA