MOTO WAJERUHI 500 NCHINI TAIWAN


Majeruhi katika ajali hiyo wakipatiwa huduma ya kwanza.
WATU zaidi ya 500 wamejeruhiwa kufuatia kutokea mlipuko na moto kwenye bustani moja ya burudani nchini Taiwan mapema jana.

Rais wa Taiwan, Ma Ying-jeou (katikati) akiongea na mmoja wa majeruhi aliyelazwa hospitalini baada ya ajali hiyo
Comments
Post a Comment