OWM YAPATA KOMBE KATIKA MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Kombe la ushindi Mchumi Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwekezaji na Uwezeshaji Bw. Girson Ntimba baada ya Ofisi hiyo kuibuka mshindi wa kwanza katika Uratibu na Usimamizi Bora wa masuala ya Ukimwi wakati wa kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma tarehe 23 Juni, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia kombe la Ushindi baada ya kuibuka mshindi bora katika masuala ya menejimenti ya Ukimwi wakati wa kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma tarehe 23 Juni, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

chanzo:mjengwablog

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA