THANKS GOD

Nashukuru Mungu kwa kumaliza mitihani,( UE )kwani kuna mengi yanatokea wakati wa kufanya mitihani hiyo sa zingine unaweza kuugua ghafla so ni jambo la kumshukuru pia,kilichobaki ni kusubilia kuvuna nilichopanda.

Nawashukuru pia wapenzi wa blog hii kwa kuwa wavumilivu kipindi chote nilichokuwa kimya bila kuuptodate,lakini nimerudi so kazi imeanza.............................

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA