Mr.Blue kuitwa baba Hivi karibuniiiiiiiiii..............


Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani sanaaa ambae anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba

story na picha ni kutoka teentz

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA