Picha: Maziko ya Whitney Houston


Gari iliyobeba maiti ikielekea kanisani


Waombolezaji wakifika kanisani


Kitabu cha maombolezo kikiwa kinajaa saini za waombolezaji

Jeneza ikitolewa kanisani na kupelekwa kwenye sehemu ya kuzikia

Ray J (aliyezungushiwa duara jekundu) akiligusa jeneza la aliyekuwa mpenzi wake Whitney Houston


Ulinzi ulikuwepo wa kutosha

Bobby Brown (mwenye miwani) akihudhuria mazikoni, lakini alizuiliwa kuingiaa na wageni wake ambao walikuwa tisa. Yeye alipewa mualiko wa mpaka wageni wawili tu.

Bobby Brown akiondoka msibani hapo baada ya kukataliwa kuingia kanisani na wageni wake wote aliokwenda nao

Kevin Costner akitoa nasaha zake msibani hapo

Steve Wonder akiimba msibani hapo

Tyler Perry nae alikuwa na machache ya kusema

Alicia Keys akiimba


Wana kwaya wakiimba msibani hapo katika kanisa ambalo ndilo Whitney alipoanzia kuimba
Comments
Post a Comment