Tamko la Peen Lawyer kutokukubaliana na suluhu ya "Sugu" na Ruge
SIJAKUBALIANA NA MAPATANO YA SUGU NA RUGE/NA KAMA KWELI HIZI NI HARAKATI BASI KINEGA BADO NTAZIENDELEZA.
Unajua nini..! iam swahili original,,,na ntaendelea kuwa mimi kama awali…!kazi za kufikisha ujumbe wa watu kupitia internet haswa wale ambao wananyimwa sehemu ya kusikilizwa kwenye jamii..!online ndio maisha yangu..!
so chocchote kilichotokea ilikuwa ni part ya maisha yangu na kazi ambayo nimejitolea kuifanya,,,nimekaa na sugu jana na alinielezea yote jinsi yalivyomtokea na kumbana mpaka akaamua kuamua aliyoamua,,,,nimpongeze kwa kile alichoamua ,,,,na pili naomba niiweke wazi kuwa misimamo yangu katika unyonyaji unaofanyaka katika tasnia ya muziki sidhani kama ndio kweli mwisho umefika,,kwahiyo siamini swala la sugu kushikana mkono na ruge kwani bado sijaona mabadiliko ya ruge na clouds nzima…!
tulikuwa tunapigana na unyonyaji uliyokuwa unafanyika kwenye tansia ya muziki huu wa kizazi kipya,,na ruge na clouds walikuwa ni moja kati ya wale ma top wanao fanya mambo hovyo,,,kuna wengine wengi tu ambao tunatakiwa kuwafanyia kazi,,,,lakini kwakuwa tulipata power kubwa sana ya kupigana kwa kutumia nguvu ya umma,,,yaani jamii ilitupokea kwa nguvu zote, na tulikuwa tunaongea mengi kuhusu clouds,,tukiachana na yale ambayo clouds wamesema watayabadilisha,,,lakini still bado kunaonekana kuna jambo linajificha hapa,,kivipi?sugu alishasema yeye hawezi kukaa na ruge mmeza moja labda mpaka alipwe fidia ya ule mchongo wake wa maleria,,na jana ilivyotokea hii inshu,,,,,katika taarifa alizokuwa akikisambazo mkoloni,,,
nakukuu “anti virus iko pale pale akiwemo na sugu ndani na kama madam mchovu anaongea usenge kumamake ndio atajua kuwa sisi sio madaktari hatutishii,haya ni maisha na hakuna anachokijua kuma tu akae kimya……..kifupi kuchanwa kuko pale pale sio ruge wala nani…..tafadhalini kumbukeni sugu alishawaambia idadi ya watu wa kuchanwa imeongezeka mlidhani anatania??? au lini alisema kitu halafu hakikuwa???
suala la mazungumzo na kukubaliana masuala ya msingi baina yao kuhusu mradi wa malaria lilikuwa likifanyika mara kwa mara tu, sisi vinega tumekaa kimya na amekuwa katika malumbano hayo na vikao vingi tu na hatimaye leo wamekubaliana kimsingi tena kwa maandishi juu ya suala lao huku rugay akikiri kuwa ndiye alikuwa anazingua…….kuhusu upande wa harakati za muziki ziko pale pale…….ushindi wa sugu dhidi ya mradi wa malaria ni mafanikio ya movement,sasa bado virusi vingi tu kwenye hili game na tunakomaa nao…….with no apology!!!! “mwisho wa kunukuu…….!
NA PIA nilipokuwa napigiwa simu na watu kuhusu hili swala ambalo lilinishtua kama ningekuwa mwanamke wenye mamba ningezaa au mamba kualibika siku hii,,nilijaribu kupiga simu kwa baadahi ya vinega nakutakakujua nini kimetokea,,na nilipoongea na kulwa wa mapacha alinijibu yeah,,mkoloni ameniambia kuwa ruge alikuwa anaenda kule bungeni na kuongelea swala la kuyamaliza kwa kumlipa sugu ule mradi wake wa malaria,na kukubali kufata masharti ya vinegar kuhusu studio na TFU,,nikamwambia lakini unaona huku online jinsi watu walivyo chafuka,,,?akasema ngoja niongee na mkoloni awape taarifa,na simu ikakatika,pia niliongea na kinega adili naeye alionekana kutokuwa nataarifa yoyote kuhusu picha na mapatano ya sugu na ruge.
sasa je katika taarifa nilizopewa mm kama kinega wa antivirus ,,,kuna yoyote ilisema kuwa vinega tumeshinda hata na ile ya malaria?na je kwanini haijaongelewa hata kwenye ma television ?mm nilimuuliza sugu jana tarehe 21,o2,2012…..!
je nigga vipi unakumbuka kuhusiana na inshu yako ya maleria?umekuwa unajinadi ukisema kuwa ipo siku tu ruge atakulipa fidia yako ya ule mradi wa maleria,,na je mbona sijaona neno lolote kuhusiana na huo mradi hapo kwenye karatasi ????na sugu alinijibu kuwa wakati anaenda kwenye huu mkutano wa kupatanishwa alienda na lawyer wake ambae ni mh tundulisu.!so tundulisu ndie atakayefatilia mahakamani inshu ya maleria na mpaka ipatikane haki yake,,,,
nilitikisa kichwa nikaona je,,,,?nikweli sugu nnayemfahamu mm anaweza kukubali lile swala kivile?na nikarudi tena so umekuali kwasababu umeongea na ruge kuwa atakulipa ama?akasema nimekubaliana na ruge kwasababu kila hoja ya msingi niliyoiweka mezani kwenye kamati ya bunge ameijibu kwa kusema inalekebishwa ikimemo na hiyo ya maleria..!akaniuliza sasa peen,,ebu niambie kama ungekuwa wewe ungefanya nn?ikiwa kama kamati ya bunge imekuomba madai yako,,na umewapa madai yako na ndio yale ambayo kamati ya bungeimesikiliza kwenye mixtape zote mbili,,,
Endelea kusoma /www.swahilioriginaltz.com/2012/02/22/sina-budi-kutoa-tamko-langu-kwa-umma-peen-lawyer/

Comments
Post a Comment