Diamond Platnumz afunguka baada ya kusambaa kwa wimbo wake wa Kitorondo.

DIAMOND
Haitakuwa mara ya kwanza kusikia habari za wasanii kulalamika kuhusu kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana malalamiko yake juu ya hili na hii ni baada ya siku ya leo kusambaa kwa wimbo wake unaoitwa Kitorondo ambao yeye hajautoa lakini kashangaa kuukuta kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia Akaunti yake ya Instagram ameandika kuhusu wimbo huo ambao nyimbo kadhaa za Diamond akitangaza kuvuja kwa wimbo huo ambaye hata yeye kashangazwa na hali hiyo huku akisisitiza kuwa iliyotoka haikua imekamilika,huu ndiyo ujumbe alioandika Diamond.

story

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA