Fuatilia tukio zima la tuzo za kili live kupitia hapa;


KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 

JUMAMOSI HII MEI 3 Kuanzia Saa 1 Jioni Fuatilia tukiwakiungana o zima la tuzo za kili live ikianza na red carpet itakayoletwa kwako na Jokate Mwegelo akishirikiana na Millard Ayo na baadaye na mtangazaji wa East Africa TV Sam Misago na Salma Msangi katika Social Media Lounge kuwafanyia mahojiano mastaa na pia washindi wa tuzo.

click hapa hii 
KTMA2014

Pata nafasi ya kutweet live na washindi wa siku, mastaa na wasanii wengi kwa kupitia #KTMA2014 Kumbuka kushiriki na kujua kila kinachojiri katika mitandao za kijamii tazama Twitter @Kili_Lager na hashtag #KTMA2014 Share hii na marafiki

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA