Man City Mabingwa EPL
Mabingwa wa England: Wachezaji wa
Manchester City wakisherehekea na taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya
England, ambalo ni la pili ndani ya misimu mitatu baada ya kuifunga West
Ham mabao 2-0 Uwanja wa Etihad jana.
Vincent Kompany akiwa amelinyanyua kombe huku wachezaji wenzake wakishangilia

wachezaji wa man city wakiwa wamemnyanyua kocha wao wakisherekea ubingwa huo

Hawa ni mashabiki wa Man city wakisherekea ubingwa wao.
Comments
Post a Comment