HUYU NDIE MENEJA MPYA ANAYETARAJIWA KUKINOA KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED

Louis van Gaal, mwenye miaka 62 anatarajiwa kutangazwa kuwa meneja mpya wa timu ya Manchester United katika msimu ujao, habari hii imerepotiwa na mtandao wa theguardian kocha huyu kwa sasa yuko katika maandalizi ya kombe la dunia akikinoa kikosi cha Uholanzi.
Mtandao huo wa theguardian umeendelea kwa kusema kuwa "Manchester United have delayed naming Louis van Gaal as their manager but are expected to do so next week. The club want to wait until the season ends on Sunday before making an official announcement about David Moyes' successor"
Kocha Louis van Gaal amekuwa na historia nzuri ya kufundisha timu kubwa kama Ajax, Barcelona, AZ na Bayern Munich
Comments
Post a Comment