WATEJA WAWILI WA COCA COLA KUTOKA KANDA YA ZIWA WASHINDA TIKETI YA KWENDA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL
| Mkurugenzi wa Nyanza Bottling Co. Ltd Mwita Gachuma Christopher Mwito Gachuma akizungumza na mashuhuda waliohudhuria makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa Kunywa, Kusanya na Ushinde. |
| Anthonia Zacharia akipoa zawadi yake mara baada ya kujishindia. |
| Omary Shahban akikabidhiwa TV.BAPA NCHI 32 na Mkuu wa mauzo Kampuni ya vinywaji baridi ya Nyanza Bottling Co. Ltd Japhet Kisusi. |
| Richard China china akikabidhiwa TV NCHI 32 na Bw. R. K. Bala. . |
| Ni Bi. Enelyne Aloyce akikabidhiwa TV NCHI 32 na Bw. R. K. Bala. |
| Sebastina Ndize (R) akikabidhiwa zawadi ya Coffee Table. |
| Wanahabari kikazi zaidi. |
| Picha ya pamoja washindi wa Coffee Table. |
| Washindi wa TIKETI ya kwenda BRAZIL, Saimon Charles (L) na Mohamed Kessy (R). |
| Katika picha ya pamoja ni washindi wa TV NCHI 32. |
Comments
Post a Comment