P.DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD)
Kupitia mtandao wa instagram na twitter, mfanyabiashara na msanii wa kwanza wa hip hop mwenye mkwanja mrefu wa dola million $700 nchini Marekani kupitia orodha iliyotolewa na gazeti la Forbes, Sean Combs kwa sasa muite Dr.Combs aka P.diddy mwazilishi wa Bad Boy Records ametupia picha mbalimbali zikionyesha kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD),kutoka katika chuo kikuu cha Howard University kilichopo Washington D.C- Marekani.
Diddy alishawahi kusoma katika chuo hiki kwa muda wa miaka miwili na baadaya kuamua kuacha chuo 1990 na kwenda kujiendeleza na maswala ya kimziki ambapo ndipo umaarufu wake ulipofahamika zaidi mpaka leo hii dunia kuweza kumfahamu.
P.didy mwenye miaka 44 kwa sasa alitoa speech kwa niaba ya wanafunzi wenzake iliyokuwa na mvuto kwa kuwahasa wanafunzi waliokuwa wamehudhuria mahafari pamoja na watu wengine waliohudhuria kwamba wao ni "viumbe wa maajabu ambao ndio wanaitengeza kesho wanayoitaka". lakini pia alisisitiza kwamba: 'Howard University didn't just change my life - it entered my soul, my heart, my being and my spirit.'
SOMO: Pamoja na kuwa msanii mwenye mafanikio makubwa hasa kifedha lakini bado swala la elimu bado limekuwa na umuhimu kwake, mfano huu ni wa kuigwa kwa wasanii wetu wa hapa Tanzania kutolipa swala la elimu kipaumbele na kuona halina umuhimu baada ya kuanza kushika millioni kadhaa.

P. Diddy akiwa amevaa gauni la mahafari na medali ya heshima kutoka chuo kikuu cha Howard Washington D.C.
Diddy akiwa amepose Mary J. Blige at Howard University
Comments
Post a Comment