AUDIO: SIKIA KIONJO CHA WIMBO WA VICTORIA KIMANI ALIOMSHIRIKISHA OMMY DIMPOZ NA DIAMOND PLATNUMZ

nyingne

Mara kadhaa kwenye picha mbalimbali kupitia Instagram wamekua wakionekana Ommy Dimpoz,Diamond na Victoria Kimani wakiwa pamoja hali ambayo baadae ilizua taflani kwa Wema na Diamond na hii ilikua ni baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha Diamond na Victoria kimani wakiwa pamoja.

Baadae ilikuja kufahamika kuwa walikua studio wakirekodi wimbo,inawezekana ni wimbo huu au ni miongoni mwa nyimbo walizofanya pamoja lakini hapa kipo kionjo cha wimbo huu wa Victoria Kimani rasmi wimbo huu unategemewa kutoka Mei 14 2014.

Millard Ayo

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA