VIDEO: HIVI NDIVYO UNAWEZA KUJIKINGA NA HOMA YA DENGUE,TAZAMA VIDEO

Homa ya dengue iko Malasia, Thailand, Filipino miaka mingi. Wao watibu na kuzuia isiwapate kwa kutumia Papai wanatafuna na mbegu zake. Au majani ya papai ma-5, twanga, au ponda, kama blenda inaweza upate rojo la kijani, kamua weka asali, tumia vijiko 3 vya chakula kwa siku. Utajiwekea kinga hutaugua homa hii. Mjulishe na mwingine. Angalia kwny internet google, andika Dengue fever malysia. Utaona wanavyo tumia product za papai wanajikinga na kupona. Tahadhari ni hatari ikikushika haina tiba. Heri kinga.

Watch "Preparation of Papaya leaf juice for curing dengue fever" on YouTube

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA