Mhe. Nyalandu afungua mkutano wa uhifadhi wa wanyamapori Tanzania


1
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
3
DSC_0563
2
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na mdau wa masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo, muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
DSC_0593
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na wadau na viongozi wa Maeneo ya yya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza jana jijini Arusha kujadili uboreshaji mfumo wa usimamizi na uendeshaji jumuia hizo.
4
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.

DSC_0567
Wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori nchini (WMA) walioshiriki mkutano huo.

 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA