NEC YATANGAZA TAREHE MPYA YA UANDIKISHWAJI KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MKOA WA DAR ES SALAAM NA PWANI


Tume ya Uchaguzi imearifu kuwa tarehe mpya za kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga kura kwa njia ya Biometric (BVR) litafanyika kuanzia tarehe 7 Julai 2015 kwa mkoa wa Pwani na kuanzia tarehe 16 Julai 2015 kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA