Rais Obama amaliza ziara yake Kenya


obama
Rais Obama akiwaaga Wakenya wakati akiondoka.
obama 2
Obama akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta tayari kuondoka.
obama 3
Obama akiagana na Rais Uhuru Kenyatta.
obama 4
Mama Sarah Obama akiwa tayari kumuaga Obama.
RAIS wa Marekani, Barrack Obama jana jioni amekamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Kenya ambapo alifungua kongamano la kibiashara, akawahutubia Wakenya katika Uwanja wa Kasarani na baadaye kuzungumza na viongozi wa mashirika ya kijamii katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Baada ya kukamilisha ziara yake hiyo, Rais Obama sasa anaelekea nchini Ethiopia kwa ziara ya siku mbili ambako anatarajiwa kuzungumza kuhusu maendeleo ya eneo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA