Posts

Showing posts from September, 2015

MAGAZETI YA SEPTEMBER 30

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

DAVIDO: SUALA LA KUOA SI LA KIPAUMBELE KWANGU

Image
Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, David Adeleke. MWANAMUZIKI maarufu kijana wa Nigeria, David Adeleke ajulikanaye zaidi kama Davido, amesema hana haraka ya kuoa hivi sasa ambapo nadhari yake ameielekeza kwenye tasnia ya muziki ambayo ndiyo inampa riziki yake na kwamba hataki kujifungia katika ‘sanduku’ na ndoa. Davido aliyesema hayo hivi karibuni katika mahojiano na gazeti la Punch ambapo aliweka wazi kwamba bado hajaamua kumuoa mama wa mtoto wake, licha ya upendo wake mkubwa ambao amekuwa akiuonyesha kwa mtoto wake. Msanii huyo aliyeimba wimbo maarufu wa 'Skelewu' alisema: “Ni jambo jema sana kuitwa baba, lakini sifikirii kuoa sasa kwani kipaumbele changu hivi sasa ni muziki. "Hivyo, wapenzi wa mwanamuziki huyo watabidi wasubiri na kuona ni lini atafunga ‘pingu za maisha’.

LOWASSA AFIKA BUMBULI NA TANGA KUNADI SERA ZAKE

Image
nt Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo leo Septemba 28, 2015. Umati wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kisiwani, leo Septemba 28, 2015. Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kisiwan, Mji wa Soni katika Jimbo Bumbuli, Mkoani Tanga leo Septemba 28, 2015. Tumeshirikishwa picha na Othman Michuzi/Jr2/Mtaa kwa Mtaa blog

Scholarship Tenable in Peoples Friendship University of Russia (PFUR) 2015/2016

1.0  Call for Application: Applications are invited from qualified Tanzanian for undergraduate, Masters and Doctorate, Scholarships tenable in Peoples Friendship University of Russia (PFUR) in Russian Federation for the year 2015/2016 2.0 Qualification: 2.1 Application for Undergraduate programme must:- Have completed and passed Advanced Certificate of Secondary Education; Candidates not exceed  25 years by September, 2015; Have obtained and passed not below “C”  grade in the relevant subjects and No “F” in any subject of Advanced Secondary education, Examination or Secondary Education Examination Not be admitted in any Higher Learning Institution (Local Foreign);  and Have a good Health. 2.2  Applicants for MastersProgramme must:- Have undergraduate degree with GPA not less than 3.5; Not be older than 35 years of age by September, 2015; and Have a good Health. 2.3  Applicants for Doctorate Programme must:- Have a master’s degree ...

Magazeti ya Leo Jumamosi

Image