UKAWA Mbarali waungana na ACT-Wazalendo kwa ajili ya Ubunge tu

Wapiga kura huko Mbarali wameamua kuungana na kuunda umoja wao kwa ajili ya kushinda kiti cha Ubunge tu, ili jimbo libaki kwa Modestus Kilufi, mgombea kutoka ACT-Wazalendo.
Wakizindua kampeni zao, wamesema wameamua kufanya hivyo baada ya UKAWA (CHADEMA, CUF, DP na NCCR-Mageuzi) kushindwa kupata mgombea mmoja anayekubalika na vyama vyote vinavyounda umoja huo.
Kilufi ni nani? Bofya hapa na pia hapa ili usome kwa ufupi taarifa ziliyotangulia kumhusu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA