LOWASSA ATIKISA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA JANA
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani,
katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa
Machinjioni, Simanjiro Mkoani Manyara jana Septemba 25, 2015.
Sehemu ya
Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara
wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
wakati akiwahutubia katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye
uwanja wa Machinjioni, Mererani, jana Septemba 25, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akivishwa vazi maalum la jamii ya
watu wa Kimasai, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Mji wa
Mererani, Simanjiro Mkoani Manyara jana Septemba 25, 2015.
Meneja wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, John Mrema
akizungumza na Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani
Manyara.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akipokea kadi za wanachama wa CCM
walioamua kurudisha kadi na kujiunga na UKAWA, wakati wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye uwanja wa
Machinjioni, Mji wa Mererani, Simanjiro Mkoani Manyara jana Septemba 25,
2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akizikusanya kadi hizo baada ya kuzipokea.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akiwahutubia Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara.
Comments
Post a Comment