WIKI YA REKODI KWA LABEL YA WCB, HARMONIZE NAYE NA REKODI YAKE HII MPYA

Harmonize_tz
Inaweza kuwa ni wiki nzuri kwa Label ya WCB kwani hapo Jana Diamond Platnumz aliweza kusherehekea rekodi yake ya Video "KIDOGO" kufukisha Watazamaji Milioni 1 ndani ya Siku 4.Hii pia inaweza ikawa rekodi mpya kwenye muziki wa Harmonize, hii ni video mpya ya wimbo alioupa jina ‘Matatizo‘ ambayo ilitoka Jul 4, 2016 na kwa sasa imeshafikisha watazamaji milioni moja ndani ya siku 12.
Harmonize - Matatizo
Kwenye hii video tumeona maisha halisi ya msanii Harmonize kabla ya kuwa maarufu kwenye bongo fleva.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA