Brazili kucheza na Taifa Stars ya Tanzania Juni 7 05/27/2010


Brazili kucheza na Taifa Stars ya Tanzania Juni 7 05/27/2010


Timu ya soka ya Brazili ambayo imeshawasili nchini Afrika Kusini tayari kwa mashindano ya kuwania Kombe la Dunia la Soka, inatarajiwa kuingia nchini Tanzania Juni 5 kwa ajili ya mechi ya kirafiki na Timu ya soka ya Tanzania ya Wanaume, Taifa Stars hapo Juni 7, 2010.

Balozi wa Brazili nchini Tanzania, Francisco Carlos Soares Luz amesema timu hiyo itawasili na nyota wake wote watakaoshiriki katika fainali hizo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA