Tiketi za WOZA 2010 kwa Tanzania zawasili


Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Florian Kaijage kizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusiana na utaratibu wa kupata tiketi zilizoletwa na FIFA ili kushuhudia baadhi ya michezo ya Kombe la Dunia.
Kwa sababu za kiusalama na uthibitisho, watu wote walionunua tiketi hizo wanahitajika kuwa na risiti zao pamoja na picha ndogo 'Passport Size' ili waweze kupatiwa tiketi zao

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA