Wafanyakazi WOTE wa ATCL waachishwa kazi


Kamati ya kudumu ya Bunge na Fedha na Uchumi iliyokutana jijini Dar Es Salaam tarehe 25 Mei 2010 imeridhia mapendekezo na ushauri wa Ofisi ya Msajili wa Hazina la kuwaachisha kazi Wafanyakazi wote wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ili kuipunguzia mzigo Serikali. Ushauri huo umetolewa na mshauri wa Msajili wa Hazina bwana Godfrey Msella na kusema, "kama ATCL haibebeki, ni bora Serikali ibwage manyanga" na hivyo kufuatiwa na tamko rasmi la Mwenyekiti wa tume hiyo ya Bunge, mhe. Abdallah Kigoda.

Hatua kama hiyo iliwahi kuchukuliwa katika shirika la Bima la Taifa (NIC) na imependekezwa kuwa hatua hii isiichie ATCL pekee bali ifike pia katika Shirika la Reli nchini (TRL).

habari hii ni kwa hisani ya tovuti ya www.wavuti.com

Comments

  1. I as well as my friends appeared

    to be

    studying the good points on the website then all of
    a sudden got a horrible suspicion I had not thanked the web
    site owner for

    those tips. All the boys

    came so happy to study all of them and already have truly been
    taking advantage of those things. Many thanks for

    genuinely indeed considerate and for

    considering this sort of great subject matter most people are really needing to discover.

    My personal honest apologies for

    not saying thanks to you earlier.
    Feel free to visit my page :: spacesbook.com.ar

    ReplyDelete
  2. I appreciate, cause I found exactly what I was looking for.
    You have ended my four day long hunt! God

    Bless you man. Have a great day. Bye
    my web page :: http://www.polestra.com/forum/profile.php?mode=viewprofile&u=96362&sid=1990aba3ba9f37cd9e2a98306e629abd

    ReplyDelete
  3. Hey very cool blog!! Man .. Beautiful .. Amazing
    .. I'll bookmark your

    site and take the feeds also…I am happy to find a lot of useful

    info here in the post, we need work out more strategies in this regard, thanks for

    sharing. . . . . .
    Feel free to surf my homepage ... http://topseobacklinks.com/search/http://ccfa3071.blogspot.fr/2006/08/anouncement.html

    ReplyDelete
  4. Appreciating the commitment you put into your

    blog and detailed information you present. It's nice to come

    across a blog every once in a while that isn't the same old rehashed material.
    Great read! I've saved your site and I'm adding your

    RSS feeds to my Google account.
    Here is my weblog :: gossip.com.pk

    ReplyDelete
  5. I am continually browsing online for

    ideas that can facilitate me. Thx!
    Here is my page ... durnzno.com.ar

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA