MACHOZI BAND WAAMISHA ,MAKAZI TO MZALENDO PUB KILA FRIDAY


GOOD NEWS KWA WAPENZI WA MACHOZI BAND IJUMAA HII.......KIWANJA KITAKUWA MZALENDO PUB EVERY FRIDAY
Machozi Band sasa wamehamia mzalendo pub sehemu yenye upepo wa asili wa kutosha bila kuhitaji mafeni..........

Ni Mzalendo Pub, kuanzia Ijumaa ya tar 28 May 2010 na Ijumaa nyingine zote zitakazofuata

Karibuni mu enjoy, na samahanini tena kwa kuwakosesha burudani Ijumaa iliopita
Alhamisi ni Savannah Lounge kama kawaida na Jumapili ni Thai Village

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA