SEHEMU YA UTAJIRI WA P DIDDY!!




P diddy wa kwanza kulia, akiwa na mtoto wake wa kwanza, aliyevaa koti jeupe, Diddy anazaidi ya watoto watatu aliozaa na wanawake tofauti, na amesema hajui lini ataoa kwa sababu hajapata mwanamke wa kusema ni wife material, kwa sasa mshkaji ana umri wa miaka 42.

moja kati ya majumba ya kifahari yanayomilikiwa na P DIDDY.

kwa ndani!

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA