HATA WEWE UNAWEZA KUSHIRIKI KWENYE HILI

Taasisi hii pia ina duka la hisani yani 'Charity Shop' ambayo watu wanaleta nguo, viatu, vitabu, vyombo nk, vya zamani vyenye ubora na hali nzuri ambavyo hawafikiri kuvivaa tena, au kivitumia tena, na sisi tunaviuza second hand na hela zineanda kwenye mfuko wa madawati.
Comments
Post a Comment