HUYU NDIO BIBI ANAERAP NA KUIMBA


huyu ndio bibi ambae ana rap na kuimba, maajabu yake ameyaonyesha kwenye XXL ya CLOUDS FM leo, stori kamili nitaiweka baadae kidogo hapa hapa millardayo.com na itasikika pia kwenye AMPLIFAYA.

ana umri wa miaka 51, na mpaka sasa hajapata jina la kisanii la kutumia, track yake ya kwanza ameitoa leo kafanya na MH TEMBA

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA