KWELI WANAFUNZI WANAMBINU KIBAO ZA KUEPUKA SUPPREMENTARY


Basi unaambiwa usicheze na binadamu kwenye kugundua mbinu za kila aina ili asiweze kufail mtihani......sio Mtanzania lakini ona mambo anayoyafanya kwenye chumba cha mtihani......angusha comments zako mdau.

Comments

  1. Udangantifu katika kufanya Mitihani ni chukizo na jambo linalosikitisha sana Poti.

    Tungo, (nanukuu)

    "sio Mtanzania lakini ona mambo anayoyafanya kwenye chumba cha mtihani", ni tata ebu ipitie tafadhali .

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA