AIRTEL YAZINDUA DUKA LA KISASA JIJINI DAR

pic 1
Afisa huduma kwa wateja wa Airtel, Deogratius Gerald,(wakwanza kulia) akimuonyesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng, Edwin Ngonyani jinsi ya kupata taarifa kuhusu huduma mbalimbali za Airtel kupitia komputa zilizoweka katika duka jipya la Airtel Expo wakati wa uzinduzi rasmi wa duka hilo jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwn Sunil Colaso (nyuma katikati) na Meneja huduma kwa wateja Bi. Zakia Omary
pic 2
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng, Edwin Ngonyani akiongea wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Airtel Expo lililopo katika makao makuu ya Airtel Morocco, jijini Dar es Saalam. Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwn Sunil Colaso akifatiwa na Mkurugenzi wa mawasilino wa Airtel Bi. Beatrice Singano Mallya
.pic 2 b
Afisa huduma kwa wateja wa Airtel, Deogratius Gerald (kulia) akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng. Edwin Ngonyani juu ya huduma zinazopatikana katika duka jipya wakati wa uzinduzi wa duka hilo. Wakishuhudia (kutoka kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Prof. Faustine Kamuzora, Naibu Katibu Mkuu Dr Mary Sasabo na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bw. Sunil Colaso.
pic 3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng, Edwin Ngonyani akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Airtel Expo lililopo katika makao makuu ya Airtel Morocco,jijini Dar es Saalam.
pic 4
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng. Edwin Ngonyani pamoja na mkurugenzi mkuu wa Airtel kwa pamoja wakibonyesha kitufe kuashiria uzinduzi wa duka la Airtel Expo lililopo makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam.
pic 5
Shamrashamra za uzinduzi wa duka la Airtel Expo Morocco, jijini Dar es Saalam
pic 6
Afisa huduma kwa wateja wa Airtel, Deogratius Gerald,(kwanza kushoto) akimuonyesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng, Edwin Ngonyani vifaa na simu mbalimbali vinavyopatikana katika duka jipya la Airtel Expo wakati wa uzinduzi rasmi wa duka hilo jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel Morocco, jijini Dar es Salaam. Akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bw. Sunil Colaso (wa kwanza kulia) akifatiwa na Meneja huduma kwa wateja bi, Zakia Omary.
Adrina pic
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawailiano Eng, Edwin Ngonyani akimsikiliza Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel, Bi Adriana Lyamba na meneja huduma kwa wateja Zakia Omary (katikati) wakati wa uzinduzi rasmi wa duka hilo jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel Morocco, jijini Dar es Salaam. Akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwn Sunil Colaso.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA