MV SERENGETI YAPATA HITILAFU, YACHELEWA KUFIKA BUKOBA

MV SERENGETI

Meli ya MV Serengeti jaana imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo zilipotegwa nyavu za wavuvi na kusababisha taabu.
Meli hiyo ilianza safari ya Mwanza – Bukoba jana jioni na kwa kawaida ilitakiwa kuwasili Bukoba saa 12 jana asubuhi.
Tayari Kampuni ya MCS imetuma wazamiaji eneo la tukio kuangalia namna ya kunusuru abiria waliokuwa katika meli hiyo.
Hii ni taarifa iliyotolewa na Marine Services Company Ltd baada ya tatizo hilo

TAARIFA

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA