SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU TIBA ASILI NA TIBA MBADALA


IMG_0606
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa uamuzi wa Serikali kuhusu Serikali kuhusu Tiba Asili  na Tiba Mbadala katika mkutano wa  waandishi  ulifanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo. kushoto ni  Naibu Waziri wa Wizara hiyo, DK. Hamis Kigwangalla wakifuatilia tukio hilo.
IMG_0619
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigangwalla akifafanua jambo kuhusu uamuzi wa  Serikali kuhusu Tiba Asili  na TibaMbadala katika mkutano wa  waandishi  ulifanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo. kushoto ni  Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA