Posts

Showing posts from June, 2010

Man kills a child to watch FIFA World Cup match

A Texas man accused of fatally beating his 2-year-old stepdaughter when she wouldn't stop crying as he watched a World Cup game has been charged with capital murder. McAllen Police Sgt. Joel Morales says 27-year-old Hector Castro was charged Monday after his Saturday arrest. Police Chief Victor Rodriguez says Castro told investigators the toddler wouldn't stop crying while he was trying to watch the U.S.-Ghana matchup Saturday. Castro is being held on $1 million bond at the Hidalgo County jail. Rodriguez says the child was severely beaten and suffered several broken ribs. Police say a screw or bolt was forced down her throat in an apparent attempt to make it look like she choked to death.

RIHANNA NA MPENZI WAKE MPYA !!!

Image

IT HAS BEEN A YEAR RIP MJ

TUZO ZA ZANZIBAR MUSIC AWARDS TAREHE 25 MWEZI HUU

Image
Hadi sasa Juma 20,Baby J na Ali Kiba ndio wasanii walio tajwa kuwa ndio watakao toa burudani kwenye Tuzo hizo. Mgeni wa tuzo hizo ni Bi Asha Abdallah Juma Waziri waKazi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto.Tuzo hizo zitafanyika katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani. habari hii ni kwa hisani ya www.allyshams.blogspot.com

GHANA YAIBEBA AFRIKA

Image
Ghanaian fans Ghana imefanikiwa kuyabakisha matumaini ya Afrika kulibakiza kombe barani Afrika kwa kusonga mbele kwenye hatua ya mtoano ya timu 16. Ingawa Ghana ilibamizwa 1-0 na Ujerumani kwenye uwanja wa Soccer City mjini Johannesburg, ushindi wa Australia wa mabao 2-1 dhidi ya Serbia uliifanya Ghana isonge mbele kwa tofauti ya magoli. Ghana imemaliza mechi zake tatu ikishika nafasi ya pili kwenye kundi D na sasa itapambana na mshindi wa kwanza wa kundi A, Marekani siku ya jumamosi. Akiongea baada ya mechi kocha wa Ghana, Milovan Rajevac alielezea kufurahishwa kwake na jinsi Waafrika Kusini walivyoishangilia kwa nguvu Ghana. "Tunatumaini Waafrika Kusini wataendelea kutushangilia kwenye mechi zijazo", alisema kocha huyo wa Ghana. Wawakilishi wengine wa Afrika, Algeria walishindwa kulilinda lango lao dakika za majeruhi na kuwaruhusu Marekani kupata goli la ushindi ambalo limeifanya Algeria irudi nyumbani huku ikishika mkia kwenye kundi C. Goli la ushindi la Marekani lilifungw

UPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO

Image
Mount Kimanjaro kuna kampeni mpya ya kupigia kura maajabu mapya 7 ya Dunia ,mlima Kilimanjaro ni mojawapo ya maajabu hayo,mlima huu una 5,895 meters.. Tafadhali upigie kura linki ni: www.new7wonders.com/community/en/new7wonders/new7wonders_of_nature/kilimanjaro Tuma taarifa hii pia kwa wadau wengine ili mlima wetu uweze kuibuka kidedea.

Club Maisha kufunguliwa upya kesho

Image
mwonekano wa nje wa maisha club dancing floor inavyoonekana TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Club Maisha kufunguliwa upya * Ni baada ya kufanyiwa ujenzi UKUMBI maarufu wa starehe wa Club Maisha unatarajiwa kufunguliwa upya Juni 24 mwaka huu, baada ya kufanyiwa ujenzi mkubwa kutokana na kuungua moto mwaka jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Entertainment Masters inayomiliki klabu hiyo, Francis Anthony Ciza (Majey), alisema klabu hiyo imefanyiwa ubunifu mkubwa ili kukonga nyoyo kwa kutoa burudani murua na ya uhakika kwa wateja wake. “Club Maisha inakuja katika mtazamo mpya kwa kutoa burudani za usiku Dar es Salaam iliyopambwa vizuri, sauti ya kutosha na inaipeleka Tanzania mbele katika kutoa burudani za usiku. “Baada ya miezi kadhaa wateja wetu kukosa burudani, klabu yao sasa inarudi ikiwa ni ya kisasa zaidi yenye televisheni 32 zitakazokuwa zikionesha fainali za Kombe la Dunia na video za muziki, sehemu mbili za kuchezea, vyumba viwili maalumu vya VIP, hii yote ni katika kuuweka kuwa y

BIG BROTHER AFRICA WILL BEGIN ON JULY 18

Image
The 5TH edition of M-Net’s BIG BROTHER AFRICA will launch just days after the newest World Cup Champions are crowned, and with the golden prize of USD 200 000 once again up for grabs, a breathtaking new game will be well and truly on! And this time, Big Brother fans in over 40 countries across the continent are going to get a show that’s more edgy, more tactically challenging and more intensely strategic than ever before. So says M-Net Africa Managing Director Biola Alabi who was delighted to make the news official. “What a great moment this is – to bring back a show that our audience loves for an incredible 5th time. We wanted season 4 (Big Brother Revolution) to be special but it exceeded our hopes. With the volume of interaction the show received from fans, it was clear that season 5 was definitely on the cards. So we’ve been developing what we believe will be thrilling new format changes.” Now, with the news out in the open, M-Net has confirmed that the latest BIG BROTHER AFRICA wi

DAWA YA WABAKAJI YAPATIKANA

Image
wabakaji mmepatikana..basi daktari mmoja wa ki south Africa kagundua condoms ambazo mwanamke anaweza kuvaa na kama ukimuingilia bila idhini yake basi hiyo condom in meno ndani yake ambayo yatakukamata kwenye uume wako na hakuna atakaeweza kuitoa hiyo condom zaidi ya daktari, na wakati daktari anaitoa maaskari watakuwa wamesimama pembeni… Na kama ukijaribu kuitoa mwenyewe ndo inazidi kujibana kabisa Hizo condom zimeshaanza kugawiwa huko South Africa kwenye world cup…… Kwa habari zaidi ingia humu http://edition.cnn.com/2010/WORLD/africa/06/20/south.africa.female.condom/index.html

Dk. Ali Mohamed Shein achukua fomu kuwania Zenj

Image
Katibu wa Itifaki na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, kushoto akikabizi Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, kulia katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo.Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari ameelezea kukerwa kwake na watuw anaosema yeye kazi yake ni kufungua tu mambo na kusema ameendesha nchi kwa uzoefu mkubwa walipokosekana viongozi wa kitaifa kama Mkapa na wakati wa Jk sasa wakiwa safarini au wanaumwa.

40 people required urgently - Sales

Consumer Banking is hiring once again – but this time for sales warriors! We need 40 new mobile sales staff to drive sales from new customers. If you know anyone looking for an opportunity to start an illustrious career with the following attributes: * At least form six graduate * Certificate or Diploma in Sales/Marketing * Minimum of One year Experience in Sales/Marketing (Bank/financial products i.e. loans etc is preferred) * Fluent in English and Swahili * Positive Attitude Please ask them to send their C.V’s to: avith.massawe@sc.com - quoting David Anderson as the person who referred them for the role. Regards, Human Resources

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2010

Image
Undule Hezron Mwampulo katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu,kijana machachari katika ulimwengu wa siasa Undule Hezron Mwampulo ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika jimbo la kawe kwa tiketi ya CCM.Jina lake linaweza kuwa geni masikioni mwenu lakini ukipata japo dakika 10 za kuweza kuongea naye basi lazima utapata kitu ambacho utakisahau maishani mwako,ambacho kitaweza kukujenga kisiasa na hata kisaikolojia.wapenzi wote wa blog hii hasa wale wa maeneo ya kawe mkae tayari kumpokea kijana ambaye anataka kufanya mabadiliko katika jimbo hili.

CAMEROON YAAGA WORLD CUP 2010

Image
Cameroon Team Dalili kwamba mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Afrika Kusini yanaweza kuwa machungu kupita yote kwa bara la Afrika yanaweza kuwa yameanza rasmi kuonekana jana baada ya timu ya Taifa ya Cameroon,maarufu kama Indomitable Lions(Simba wasiofugika) kuwa timu ya kwanza kutolewa katika mashindano hayo. Cameroon,timu ambayo ilikuwa miongoni mwa timu zilizokuwa zikitajwa kama “tumaini la Afrika”,imeyaaga mashindano hayo baada ya kufungwa jumla ya magoli 2-1 na Denmark. Kwa maana hiyo kutoka kundi E,Uholanzi imejihakikishia kuendelea na mashindano(Best 16) huku Japan ikisubiri kuumana na Denmark katika mchezo ambao utaamua nani aendelee na nani atoke.Kutoka katika kila kundi timu mbili tu ndizo zinazoendelea.

MWANAIDI HASSAN NDIYE MWANAMICHEZO BORA 2009

Image
Mwanaidi Hassan(katikati) akikabidhiwa Tuzo ya Uanamichezo Bora na kitita cha shilingi Milioni Moja(1m Tshs).Anayemkabidhi ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania(BMT),Kanali Iddi Kipingu.Wanaoshuhudia pembeni,kutoka kulia kwenda kushoto ni David Nyombo,aliyechukua Ushindi wa Tatu kupitia mchezo wa kunyanyua vyuma vizito(body building),Juma Kaseja,aliyechukua ushindi wa pili kupitia mchezo wa Soka.Kaseja ni golikipa wa Simba Sports Club ya jijini Dar-es-salaam.Mwingine pichani ni Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo(TASWA),Boniface Wambura.TASWA ndio waandaji wa tuzo hizo.

LEO ASUBUHI

Image
Nyanja kelvin Poti Nikiwa dukani kwa Mwinyi anayepatikana maeneo ya Morocco kanisani unaweza ukapitapita uone pamba za maana,viatu vya kike na kiume pia na za watoto.

pamba mpya zimewasili

Image
Mali mpya imewasili karibu sana kuna pamba mpya za kijanja kabisa ,tunapatikana maeneo ya Morocco upande wa pili wa kituo cha kanisani hapa Kinondoni karibuni wote kwaa maelezo zaidi piga simu namba 0715 760000 or 0754 781818

Somalia: Watching World cup means Death Penalty!

Watching 2010 FIFA world cup in Somalia means you are liable to death penalty! Last saturday in Mogadishu, 2 people were killed while watching world cup. They were stormed by militants people and gunned down. It is said extremist groups they think world cup will pre-occupy people's minds and they will fail to assist radical groups to overthrow the goverment, which after all is weak government. read here Hii ni ajabu kabisa kwa watu kuwa na msimamo wa namna hii, itakumbukwa miezi michache iliyopita, kundi la al-shabbaab lilipiga marufuku vituo vyote vya radio Mogadishu kupiga muziki wa aina yoyote katika matangazo yao, ilibidi baadhi ya vituo kuweka milio ya wanyama na risasi kabla ya kutangaza habari kama kionjo. Sasa na kitendo cha kuua watu watakaoangalia kome la dunia 2010 ni ukatili kama sio kuchanganyikiwa. HABARI HII NI KWA HISANI YA BLOG YA //ebchib.blogspot.com/

KISWAHILI CHAZIDI KUSHIKA KASI MPAKA MTONI

Image
Nas Damian Marley: Watupia Kiswahili kwenye ngoma yao Katika kile kinachoonesha kwamba Lugha yetu ya Taifa a.k.a Kiswahili inaendelea kupasua anga ulimwenguni, mastaa wawili wa muziki wa Hip Hop Marekani, Nas Escoba na mtoto wa Hayati Bob Marley, Damian Marley wameitupia lugha hiyo kwenye ngoma yao yenye jina la As We Enter. Washkaji hao ambao wamesimama vyema kwenye kolabo hiyo ya ukweli ambayo wameimba kwa kupokezana wametumia maneno ya kiswahili kama “Habari gani”, “Nzuri sana” na kuifanya lugha yetu kutambulika na mataifa mbalimbali duniani. Zaidi icheki ngoma hiyo hapo pembeni huku maneno ya kiswahili yakiwa yamewekewa mishale.

Wanachuo DSJ wabakwa kwa zamu

Kundi la vibaka zaidi ya 15 limevamia wanachuo wa kike wanaolala katika hosteli ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) iliyoko Ilala, Dar es Salaam na kuwabaka kwa zamu. Wakizungumza na MTANZANIA kwa sharti la kutotaja majina yao, baadhi ya wanachuo waliovamiwa walisema kuwa, vibaka hao waliwavamia juzi majira ya saa nane usiku. “Sisi tulikuwa tumelala kama kawaida, ilipotimia majira ya saa nane za usiku, tukasikia kelele nje ya geti ambazo zilionyesha kuwa mlinzi wetu Mmasai alikuwa ametekwa na hao vibaka. “Baada ya vurugu za muda mrefu kidogo, inaonekana mlinzi alizidiwa nguvu, akafungwa kamba miguuni na mikononi na kulazwa chini. Walipomalizika zoezi hilo, wakaja chumbani kwetu, mimi nilikuwa nilelala na mwenzangu, wakagonga mlango kwa nguvu wakitutaka tufungue. “Sisi tukakataa kufungua, wakaanza kututishia kwamba kama tumegoma kufungua mlango basi watauvunja na wakiingia ndani watatuua ama watatufanyia kitendo kibaya sana ambacho hatutasahau maishani. “Tuliposikia hivyo

FACEBOOK INTRODUCES 'LIKE' FEATURE IN COMMENTS TOO

Until yesterday, we were used to have the "like" feature only in the status message but not in the comment section. Starting today, Facebook has introduced "like" feature in both the statuses and comments. Why cheer up for this? Well, if there one thing or two that I disliked was having to reply to every single comment that came under my status message; or having to write back a comment to 'thank' as an appreciation for someone leaving a comment on my status message or comment. It reached a time I'd wait and give it time to see how many people responded before I could thank them all in one post. What else? Remember when you liked one's comment but didn't really want to say anything and wished you could just click under their comment to show that you liked it? With this feature we are going to see less repetitive comments thus less 'inbox notification' and therefore a bit cleaner 'inbox'. You only have to click "like" on

BIASHARA YA LUNINGA ZA KOMBE LA DUNIA

Image

HAPPY BIRTHDAY SHABAN CHINA

Image
SHABANI CHINA KATIKA POZI Tunakutakia maisha mema na marefu mwana,miaka unayofikisha leo si haba ila take care Aids kills bro.....WISH ALL DA BEST

Jinsi ya kuomba kushiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2011

Sauti za Busara ni tamasha la muziki la kimataifa,ambalo hufanyika kila mwezi wa pili Zanzibar,kuonyesha muziki kutoka sehemu zinazo zungumza kiswahili, katika bara la Afrika na pande zote. Miaka iliyopita ,zaidi ya vikundi 280 vimekwisha shiriki baadhi yao ni Jose Chameleone, Samba Mapangala, Saida Karoli, Natacha Atlas, Didier Awadi, Bassekou Kouyate,Banana Zorro & the B Band, Joh Makini, Nako2Nako Soldiers, Nyota Ndogo,Thandiswa, Culture Musical Club na wengineo wengi. MWISHO wa kupokea maombi 31 July 2010 Kwa wasanii watakao shiriki katika tamasha, kwa kawaida hulipwa pesa kwa ajiri ya onyesho na matumizi yao wakiwa Zanzibar, ikiwa ni usafiri , malazi,chakula na matumizi madogo madogo.Kwa wasanii kutoka nje kawaida wanatakiwa kutafuta wadhamini wao wenyewe kwa ajili ya usafiri Jopo la uchaguzi litakutana mwanzoni mwa mwezi wa nane kuchagua wasanii watakao shiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2011. Wasanii wote watajulishwa maamuzi ya jopo kwa kupitia barua pepe mnamo mwezi

Stanboi Theafricanchild

Flaviana Matata & Hasheem Thabeet named Russel Simmons' D.E.F Africa Ambassadors

Image
Teddy Kalonga-Haight | Hasheem Thabeet | Flaviana Matata The Diamond Empowerment Fund™ (D.E.F.), an independent organization founded in 2007 by Russell Simmons and members of the jewelry industry, is pleased to recognize Flaviana Matata, former Miss Universe Tanzania as D.E.F.'s new Africa's Angel Ambassador as well as NBA player for the Memphis Grizzlies Hasheem Thabeet as D.E.F.'s new Athlete for Africa Ambassador. In her first assignment, Flaviana visited with students at African Leadership Academy and CIDA City Campus in South Africa in the spring, and blogged about her experience for D.E.F. Flaviana intends to blog for D.E.F.'s website and Facebook page regularly, acting as a correspondent for D.E.F. in sharing the stories of the students at the programs D.E.F. supports. In his role, Hasheem will develop a program with D.E.F. to help raise awareness and support for the cause of empowerment through education for Africa, which will also highlight his is philanthropi

Ilianza Mara, ikaenda Kilimanjaro sasa ni Iringa...

Watu wasiofahamika wakazi wa kijiji cha Igowole wilayani Mufindi mkoani Iringa wamechoma moto ofisi ya Serikali ya kijiji hicho na moto huo umeunguza nyaraka zote za kijiji hicho toka kilipoanzishwa hadi sasa. Wakizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wa habari juu ya tukio hilo, wakazi wa kijiji hicho wanadai kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuwa jitihada za wananchi kuzima moto huo zilikwama baada ya moto huo kuongeza kasi kila wanapojaribu kuzima. Pia walisema kinachoonekana katika tukio hilo ni hujuma kutokana na siku za hivi karibuni wananchi wa kijiji hicho kufanya maandamano kupinga mwenendo wa viongozi wa Serikali ya kijiji hicho kwa hatua yao ya kuuza mali za wananchi pamoja na zile za kijiji bila kuwashirikisha malalamiko ambayo yalifikishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi na kuundiwa tume ambayo hadi sasa majibu na hatua haitatolewa kwa wahusika jambo linalotajwa kuwatibua zaidi wananchi hao. Picture YATOKANAYO Kwa mbayuwayu mwenye akili yake, baada

Poleni sana wapenzi wa blog yangu

Napenda kuwapa pole wapenzi wa blog hii kwa kukosa Habari kwa muda wa siku kadhaa kama wiki moja hivi,mwanablog wenu nilikuwa naumwa lakini namshukuru Mungu nimerejea tena na mambo yanaendelea kama kawaida na nitaendelea kuwashushia habari kama kawaida.

AY ashinda tuzo za MUSEKE

Image
Mwanamuziki Ambwene Yesaya aka AY, ameshinda kwenye kinyanganyiro cha Museke Online Africa Music Awards (MOAMAs) Award. Award hii imeandaliwa na wavuti wa www.museke.com ikiwa na dhamira ya kutambua vipaji na kazi za wanamuziki wa Afrika waliofanya vizuri kwa mwaka 2009/10. AY alikuwa kwenye kundi la East Africa Song of the Year. Hayo yamethibitishwa na AY mwenyewe kupitia status ya mtandao wa facebook “M happy:Nimeshinda Awards za Museke:East African Song of the Year (LEO)..mafans wangu nawashukuru sana coz mnafanya mambo kwa vitendo na matokeo yanaonekana..tonight nitaparty na watu wangu wa Kampala.Muuuuuuch RESPECT Brothers N’ Sistaz” alisema AY akiwaambia mashabiki wake.

Serikali yawaonya wenye 'blogs'

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Clement Mshana amewataka wamiliki wa mitandao ya habari maarufu kama 'Blogs' na wale wa magazeti ya udaku kuacha mara moja kuweka picha na habari zinazodhalilisha jamii. Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa wanahabari mjini Morogoro, Mshana alisema Tanzania imekuwa na ongezeko kubwa la vyombo vya habari tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi. "Hilo ni jambo zuri katika kutoa habari za kuwaelimisha, kuwaburudisha na kuwahabarisha wananchi kuhusu masuala mbalimbali yakiwamo ya afya, siasa, maendeleo na ustawi wa jamii kwa ujumla hasa pale habari hizo zinapokuwa zimeandikwa kwa ufasaha bila udhalilishaji. "Lakini utakuta katika blog, badala ya kuwekwa habari na picha za kuelimisha jamii, zinawekwa picha za watu wakiwa uchi! Huku ni kuwadhalilisha watu. Ijulikane kuwa mitandao hiyo husomwa pia na watoto wadogo, hii inawafundisha nini?" alihoji Mshana. Hata hivyo, alisema si magaze