ANGALIA ALICHOKICHORA KICHWANI GOLI KIPA WA MAREKANI.

 Tim Howard goalkeeper wa timu ya Marekani picha yake ikichorwa kichwani, mambo haya ni huko Brazil kila mtu alionyesha mapenzi yake kwa mchezaji wa kutoka kwenye timu ya taifa ya nchi yake.
Habari ndiyo hii unaweza kuona sura ya goalkeeper pamoja na bendera ya marekani, ushafikiria kuchora kitu kama hiki kichwani?

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA