RICK ROSE ASHINDWA KUPERFORM KWA KUHOFIA MAISHA YAKE KUWA HATARINI





Rick Ross aka Big Boss anayeliongoza kundi la  Maybach Music Group, weekend iliyopita ameshindwa kuperform katika stage ya Chene Park katika jiji la Detroit lililopo jimbo la Michigan nchini Marekani,mara baada ya kusimamishwa nje ya ukumbi na kundi la  watu  100 kabla ya kuingia ndani wakati akisubiliwa zamu yake ya kuishabulia stage, hivyo mkurungezi wa  vipindi Jay Hicks wa kituo kikubwa cha radio cha  HOT 107.5′s kilichopo Detroit ilimbidi kutoa tamko kwa watu waliohudhuria  katika show hiyo kwamba  Rick Rose hataweza kuishambulia stage kwa kuwa anahofia usalama wa maisha yake kuwa hatarini.


Mkurugenzi wa vipindi Jay Hicks alisikika akisema “We had Rick Ross right outside here tonight. At about 11 o’clock, when he was pulling up to come into , he was met by 100 individuals outside,” 107.5′s program director told the crowd. “We have tried to pull every resource together and asked him to come back. He is in fear of his life.”

Habari za chini chini zilizo tolewa na na mtandao wa HotHipHopDetroit.com zinasema kwamba Rapper Trick Trick amemweka Big Boss Rozay katika "No Fly Zone” kwamba hawezi kuingia Detroit bila kuonana na Trick Trick aka “The Mayor of Detroit.” ambaye amejipa cheo cha Umeya.

Rick Ross alitweet kwamba hataweza kuperform katika tamasha  Summer Jamz kupitia twitter

View image on Twitter
Luv I wuz ready to killm 2nite,heard it wuz a peace protest wit picket signs and locked gates haa 😂😂

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA