AUDIO :SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA DE' RINGTONES

Sikiliza nyimbo mpya ya  kundi jipya  wanaojulikana kama  DE' RINGTONES kutoka jijini Mwanza kundi linaloundwa na wasanii wawili ambao ni Irene Jo na Holy Josh, kazi hii imefanyika jijini Mwanza katika studio ya Chopah records na kusimamiwa na producers wawili Joshbatabata na Chopah Francis Mbwana.

Wimbo unaitwa "I love Music" ndo wimbo wa kwanza kutolea so stay tuned more new tracks are on the way.....,
enjoy and show support kwa kudownload na kusambaza taarifa kote, unaweza wasiliana na producer Josh kupitia facebook kwa jina la Josh Batabata  pia producer chopah francis kwa maelezo zaidi

Download na kusikiliza



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA