SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA WA COMORO

1
Makamo wa Rais wa Muungano wa Comoro Mhe,Jafar Ahmada Sais wa kisiwa cha Ngazija akiapishwa jana na Jaji wa mahakama ya katiba ya Nchi hiyo Mhe,Loutfi Soulaimane (hayupo pichani ) wakati wa sherehe za kuapishwa Rais kanali Azali na makamo wake 3 iliyofanyika jana baada ya ushindi wa uchaguzi Mkuu uliofanyika Aprili 10 na   marudio ya uchaguzi huo uliofanyika mwezi mei 11 mwaka huu,hafla ilifanyika uwanja wa mpira mjini Ngazija jana,[Picha na Ikulu.] 26 mey 2016.
9
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri akitoa hutuba yake katika sherehe za kuapishwa zilizofanyika  jana kufuatia kushinda Uchaguzi Mkuu uliofanyika April Kumi (10) na uchaguzi wa marudio uliofanyika mey 11 mwaka huu,hafla ya sherehe ilifanyika uwanja wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,
2
Rais Mstaafu wa Muungano wa Comoro Mhe,Dkt.Ikililou Dhoinine (kulia) akiwa na Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri (wa pili kulia) mara baada ya kuapishwa  akiwa na Makamo wake wawili Mhe,Abdullah Said Sharman (kushoto) wa Kisiwa cha Mwali na Mhe,Mustarigan Aboud wa Kisiwa cha Anjouan (wa pili kushoto) katika uwanja wa mpira mjini Ngazija nchini Comoro jana,
3
Rais Mstaafu wa Muungano wa Comoro Mhe,Dkt.Ikililou Dhoinine (kulia) akiwa katikapicha na Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri  mara baada ya kuapishwa  jana baada ya kushinda uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa marudio wa mei kumi na moja mwaka huu hafla ilifanyika jana uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,
4
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri  akitoa salamu kwa kikosi cha Bendera mara baada ya kuapishwa  jana akiwa mshindi katika   kushinda uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa marudio wa mei kumi na moja mwaka huu hafla ilifanyika jana uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,
5
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi Comoro  mara baada ya kuapishwa  jana kwa kushinda uchaguzi mkuu wa April 10 na uchaguzi wa Marudio wa Mei 11 mwaka huu  hafla ilifanyika jana uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,
6
Vikosi vya majeshi ya Ulinzi vya  Comoro vikitoa heshama kwa  Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri aliyeapishwa jana na jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Mhe,Loutfi Soulaimane katika sherehe zilizofanyila uwanja wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro,
[Picha na Ikulu.]26 May 2016

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA