WAZIRI NAPE ATAMBUA MCHANGO WA BLOGGERS NA KUWAALIKA BUNGENI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha  ya pamoja na wamiliki wa Blogs  (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Annastazia  Wambura. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya Wizara hiyo


 Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akisoma taarifa ya maoni ya upinzani kuhusu wizara hiyo.
 Baadhi ya Bloggers wakisikiliza mwenendo wa bunge. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Wamiliki wa Bloggers Tanzania (TBN).
 Nape akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni Dodoma
 Nape akiwa na Bloggers
 Nape akisalimiana na Blogger Salum Mwinyimkuu
Mmiliki wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Matukio360 Blog Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania, Sharifa Malira

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA