HAPPY BIRTHDAY HISABATI(ADILI MKWELA)

Leo ni birthday ya Adili Mkwela a.k.a "Hisabati",msanii ambaye aliweza kuhit sana na track yake ya "peke yangu"na pia akajiingiza katika utengenezaji wa videoz chini ya Chapakazi.

Leo atakinukisha vibaya uwanja wa chuo cha ustawi wa jamii-Kijitonyama akishirikiana na MCs kibao Vinega ndani katika harakati za kukomesha unyonyoji unaoendelea dhidi ya wasanii wa kibongo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA