MAADHIMISHO YA SIKU YA JUMUIA (COMMUNITY DAY)YAFANYIKA CHUO CHA SAUT.

Maadhimisho ya siku ya jumuia (community day)yamefanyika leo hapa chuo cha Mt.Augustino na kuudhuliwa na watu wengi wakiwemo wanafunzi,wahadhili ,wananchi wanaokizunguka chuo pamoja na viongozi wa chuo hiki,maadhimisho yameenda vizuri japokuwa kulitokea tatizo la mvua lakini haikuweza kusimamisha maadhimisho hayo.

Dhumuni kuu la maadhimisho ya siku ya jumuia ni wanafunzi kuweza kuonyesha mambo mbalimbali ambayo kila kitivo kinafanya,hivyo inakuwa ni fursa nzuri kwa watu mbalimbali kuweza kujifunza mambo mbalimbali ambayo walikuwa hawayafahamu yanayofanywa na kila idara chuoni hapa…..

Mabanda ambayo yameweza kuvuta umati wa watu ni banda la uhusiano wa umma(Public Relations), Mawasiliano ya Umma (Mass communication),banda la sheria (Law).Baada ya maonyesho hayo wanafunzi wa watu mbalimbali wamejitokeza kwa wingi katika mlo wa mchana ambao uliandaliwa na chuo. Na hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa maonyesho hayo.




Makamu mkuu wa chuo Father Charles Kitima mwenye suti yeusi,na Father Mwanjonde wa kushoto wakiwa kwenye banda la Public Relations
Banda la Mass communication
Hawa ni wanasheria watarajiwa wakiwa wamepozi kwa pamoja katika banda lao
Banda la public Relations wakishirikiana na SSPRA
Mvua ikiendelea kunyeesha lakini haikusimamisha shughuli

Victor mwanafunzi wa mwaka wa tatu anayesomea shahada ya mawasiliano ya umma akitoa maelezo kwa viongozi wa chuo jinsi wanavyoandaa habari mpaka inaenda hewani
banda la AIESEC
Banda la YUNA
Viongozi wa SSPRA wakiwaelemisha watembeleaji wa banda hilo

Banda la kitivo cha Elimu

mvua ilinyeesha sana
Nikiwa na wadau mbalimbali wa Public Relations
Allen Mdula(mwanafunzi wa PR mwaka wa pili) akiuliza maswali mbalimbali kwa viongozi wa SSPRA.


Me and Francis -creator mwenzangu
Me and Mrope Hassan katika maadhimisho ya community day
PROz camera ikawamulika pia.
Pachi Libembe na Songora Meneja wakishow love ndani ya blog hii.........hawa ni marafiki wa kweli all the time wako pamoja.

Baada ya maadhimisho watu wakapata msosi wa mchana

Comments

  1. Dats wats to all PRs' moto huouo!!!
    keep it up kaka..blog ipo update.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA