NYAMALANGO NI KERO TUPU WAKATI WA MVUA


Hili ni eneo maarufu sana kwa wanafunzi wanaolizunguka eneo la Chuo cha Mtakatifu Augustine,panajulikana kwa jina la Nyamalango,eneo ili ndipo zilipojaa stationary pia na migahawa ya vyakula,lakini eneo ili limekuwa ndio mahali pa uchafu pamoja na maji yaliotuama na yenye kutoa harufi mbaya na pia kuwa mazalia ya mbu,wanafunzi na wakazi wa eneo ili wamekuwa wakipata tabu sana hasa wakati wa mvua kwani njia hii kupitika inakuwa tabu……..

Serikali ya mtaa huu inatakiwa kuajibika juu ya swala ili!blog hii inawapa pole wakazi wote Nyamalango,hivyo wanapasa kuwaajibisha viongozi wao waweze kurekebisha eneo ili mara moja iwezekanavyo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA